Vitu used

Vitu used

ivanaGIZ

Member
Joined
Aug 18, 2017
Posts
88
Reaction score
35
Wakuu mimi najihusisha nakuuza na kununua vitu used ikiwa ni furniture, electronics, toys vifaa vya jikoni. kama una kitu unauza au unataka nitafute kwa namba 0712623938
 
Mbaba naweza kupata kati ya ps3,4au HD BOX Kama inatikana moja Kati ya hizo niambie
 
Wakuu Mimi najihusisha nakuuza na kununua Vitu used ikiwa ni furniture, electronics, toys vifaa vya jikoni. kama una kitu unauza au unataka nitafute kwa namba 0712623938
Jeee upo insta au fb?
Weka majina unayotumia
 
Mimi nahitaji feni ..Nitext PM kama unayo
 
Wakuu mimi najihusisha nakuuza na kununua vitu used ikiwa ni furniture, electronics, toys vifaa vya jikoni. kama una kitu unauza au unataka nitafute kwa namba 0712623938
Nina office table mninga call 0713794962
 
Nauza friji ni zima ila imekuwa ndogo kwangu kwa sasa kulingana na matumizi,ni nzima kabisa haina tatizo lolote,niko st. Joseph mbezi bei 290,000/= mm nahitaji freezer kama utakuwa nalo
7d2022a7442fe02df6ee211e07f00088.jpg
3533451f62eef1350252c8e6f336cb9d.jpg
c70e30f3c5a2df76e7afef66e2218814.jpg
921ff6e06e6ccfd2a53fac72c42a653c.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom