Vitu kupanda bei Tanzania

Joined
Mar 16, 2022
Posts
65
Reaction score
83
Mwanzoni ilikuwa wazi vitu vimepanda bei kwa sababu ya korona, korona imeeleeka kuisha huku vitu vinazidi panda bei ..

Watu wakaanza piga kelele vitu vimepanda bei wanaumia, serikali ikakaa kimya,

Vita ya Ukraine na Urusi imeingia ikawa msaada kwa serikali, tayari wakatupa majibu, vitu vinapanda bei kwa sababu ya vita ya Urusi na Ukraine😂

Sasa bado wanawaza vita ikiisha sababu itakuwa ni nini


 
Afau kazi yenyewe umeajiriwa na serikali huko, ingiaa mtaani uone ugumu wa hizo kazi, nyie watu mnao tegemea flow ya salary mwusho wa mwez mna kuwa na kauli nyepesi sana [emoji52]
Mimi ni mfugaji na mkulima maridadi kabisa. Karibu Bunju shambani kwangu uone matunda ya shamba
 
Makamba ni mfanyabiashara mkubwa sn wa mafuta usitegemee nafuu yoyote wananchi tushituke mapema
 
Mimi ni mfugaji na mkulima maridadi kabisa. Karibu Bunju shambani kwangu uone matunda ya shamba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu una kana proffesional yako na kazi unayofanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…