Vitu hivi vinauzwa

Vitu hivi vinauzwa

BABA BOMBASTIC

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2024
Posts
349
Reaction score
570
Tv nch 32 solar max bei 150000

Computer full ikiwa na kioo chake nch 24,hard disk gb 5000 na ram gb 8 bei 350000

Hard disk tb 15 ikiwa na movies aina zote bei 500000

Mzigo bado wa moto hauna shida yeyote ni matatizo tu nausukuma
 
Pesa ngumu sana Mzee, najaribu kuacha vitu vyangu ili walau nichangie kutatua ya kwako, na wewe unaona nakupiga mumo kwa mumo, kwa usawa huu kupata 650k ya bila kupangilia sio Jambo dogo nkamu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom