Ushuhuda ninao mwenyewe,
Kuna kipindi nilipiga BAN anasa ulizoainisha hapo (Pombe,bangi,sigara ,wanawake na niliacha kujibizana au kutukana mtu aliyenikera, kwa kifupi nilikuwa cool kabisa,sikujihusisha na mijadala wala mabishano yoyote isiyo/yasiyo na tija.
Ndani ya muda mfupi nilijikuta nina amani moyoni,ni ile raha fulani isiyo na kifani, ngozi inanawiri(kunenepa),unakula vizuri,usingizi wa kutosha na kadhalika na unakuwa na nishati chanya (positive energy) na mambo mengi unakuwa unafanikisha kiurahisi.
Nikabaini; Anasa, lugha chafu mdomoni, na mabishano yasiyo ya msingi yanasababisha nishati hasi (negative energy) inayoitesa akili na kunyonya mwili.
Ukiwa na nishati hasi utakua na mvi hata kama hujafikia umri wa kuwa na mvi za uzeeUshuhuda ninao mwenyewe,
Kuna kipindi nilipiga BAN anasa ulizoainisha hapo (Pombe,bangi,sigara ,wanawake na niliacha kujibizana au kutukana mtu aliyenikera, kwa kifupi nilikuwa cool kabisa,sikujihusisha na mijadala wala mabishano yoyote isiyo/yasiyo na tija.
Ndani ya muda mfupi nilijikuta nina amani moyoni,ni ile raha fulani isiyo na kifani, ngozi inanawiri(kunenepa),unakula vizuri,usingizi wa kutosha na kadhalika na unakuwa na nishati chanya (positive energy) na mambo mengi unakuwa unafanikisha kiurahisi.
Nikabaini; Anasa, lugha chafu mdomoni, na mabishano yasiyo ya msingi yanasababisha nishati hasi (negative energy) inayoitesa akili na kunyonya mwili.
Level of your consumptionKwani soda ni tatizo mkuu?
Sina cha kupiga ban nasonga navyo vyote 2023/2024
Energy drink yoyote sidhani kama nishatoa hela yangu kununua. Energy
Xxx.com uliwezaje?Vitu Nilivovipiga ban 2023
1.Marafiki wanafiki[emoji706]
2.Rafiki asiye na faida [emoji706]
3.Xxx.com[emoji706]
4.Instagram [emoji706]
5. Pombe aina ya Bia[emoji706]
Xxx.com uliwezaje?
Nakubaliana na wewe mkuu...Ushuhuda ninao mwenyewe,
Kuna kipindi nilipiga BAN anasa ulizoainisha hapo (Pombe,bangi,sigara ,wanawake na niliacha kujibizana au kutukana mtu aliyenikera, kwa kifupi nilikuwa cool kabisa,sikujihusisha na mijadala wala mabishano yoyote isiyo/yasiyo na tija.
Ndani ya muda mfupi nilijikuta nina amani moyoni,ni ile raha fulani isiyo na kifani, ngozi inanawiri(kunenepa),unakula vizuri,usingizi wa kutosha na kadhalika na unakuwa na nishati chanya (positive energy) na mambo mengi unakuwa unafanikisha kiurahisi.
Nikabaini; Anasa, lugha chafu mdomoni, na mabishano yasiyo ya msingi yanasababisha nishati hasi (negative energy) inayoitesa akili na kunyonya mwili.
Kabisa mkuuNakubaliana na wewe mkuu...
ukipiga ban hizo anasa utapata amani ya moyo nzuri Sana na utayafurahia maisha hata kama bado unajitafuta.
Kabisa mkuu
Ukiacha vinavyokutesa kama, pombe,wanawake,madawa ya kulevya, kamari,wizi.mmh mbona mi hiyo aman ya moyo bado sijapata
Vitu vyote nje ya personal development, entrepreneurship na finance hususani politics, drama na dini vimekula Ban. Hadi Uzi wa INSIDER MAN nineupiga ban.Ili usinge mbele au uishi kwa raha lazima kuna vitu uvi cut (ondoa),Block, au uvipige ban si kwa ubaya ila kwa afya ya akili yako na amani ya moyo!
Vitu hivi vinaweza kuwa vinakutia stress, au vinafanya ujisikie mnyonge, vinakuumiza, au vinakudharirisha au tu vinakurudisha nyuma au kukuzuia usisonge
Mara nyingi inaweza kua ni watu, maeneo, chakula, tabia, au chochote au ndugu!!
Sasa mwaka 2022 nilianza kupiga “BAN “ baadhi ya vitu. tangu hapo nimekua n mtu nisiyepata msongo wa mawazo na amani sana.
But bado naendelea kupiga Ban
Wewe ni Vitu gan mwaka huu 2023 umevipiga BAN?
Vitu vyote nje ya personal development, entrepreneurship na finance hususani politics, drama na dini vimekula Ban. Hadi Uzi wa INSIDER MAN nineupiga ban.
Kuliko nipige BAN Pepsi baridii bora nipige kazi BAN.Kunywa soda nimempiga BAN ni miaka 5 sasa sinywi ya Aina yeyote ile