Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,592
- 59,694
Shukran sana mkuu ila kama kuna hela au biashara nishtue mengine niko field kila siku napambana na maishaNdugu nami nilikuwa kama ww niliichukia sana tiktok na nilikaa mda sina hiyo app siku moja nikajatibu tena kuingia weee!!!
Niliyoyakuta huko ni mazuri huwezi kuamini yaani nilijuta kwann sikuwa nayo mda tiktok inategemea umewafollow watu gani lakini nakuhakikishia ukifollow watu wazur na wanaokupa vitu inavyotaka hakika hutaamini utakuja hapa kinishukuru download leo kisha njoo uniambie.
Watu wengi sasaivi wamewekeza nguvu zao nyingi huko yaani wanapost vitu vya maana huko kuliko mdandao wowote insta now watu wengi wameikimbia.
Kweli sitanii🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman khaaah
Sema kweli.Kweli sitanii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wallahi nakwambia cuzooo.....🤣🤣🤣🤣Sema kweli.
Kwani soda ni tatizo mkuu?wewe tutawezana mimi nimepiga BAN 2021 nilianza kama masihara .Nilianza na Pepsi
Nilikua nakunywa hata 3kwa siku…Nikajisemea Nitakuja kuacha Pepsi watu wakawa hawaniamini nikaacha had nikasahau….Kilichofata nikapiga BAN soda zote
Nimefanikiwa kupunguza vitu vifuatavyo
[emoji879]mitandao ya kijamii isipokua jeifu na whatsaap
[emoji724]Vyakula vya viwandani na vinywaji
[emoji724]Video za warumi
[emoji1282]Kushobokea watu
Nimefanikiwa kupunguza vitu vifuatavyo
[emoji879]mitandao ya kijamii isipokua jeifu na whatsaap
[emoji724]Vyakula vya viwandani na vinywaji
[emoji724]Video za warumi
[emoji1282]Kushobokea watu
Kwani soda ni tatizo mkuu?
Wallahi nakwambia cuzooo.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sa hivi nacheza vikoba nna vihela nimeyaban madanga....labda nikifulia ntayabanuaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Namba 3 Mzee hahaVitu Nilivovipiga ban 2023
1.Marafiki wanafiki[emoji706]
2.Rafiki asiye na faida [emoji706]
3.Xxx.com[emoji706]
4.Instagram [emoji706]
5. Pombe aina ya Bia[emoji706]
Ushuhuda ninao mwenyewe,Piga BAN Anasa ,Pombe,kitimoto,zinaa,Bangi,sigara,unga ,Ps,kuhonga, nk
Shukrani sana kwa ushuhuda mkuuUshuhuda ninao mwenyewe,
Kuna kipindi nilipiga BAN anasa ulizoainisha hapo (Pombe,bangi,sigara ,wanawake na niliacha kujibizana au kutukana mtu aliyenikera, kwa kifupi nilikuwa cool kabisa,sikujihusisha na mijadala wala mabishano yoyote isiyo/yasiyo na tija.
Ndani ya muda mfupi nilijikuta nina amani moyoni,ni ile raha fulani isiyo na kifani, ngozi inanawiri(kunenepa),unakula vizuri,usingizi wa kutosha na kadhalika na unakuwa na nishati chanya (positive energy) na mambo mengi unakuwa unafanikisha kiurahisi.
Nikabaini; Anasa, lugha chafu mdomoni, na mabishano yasiyo ya msingi yanasababisha nishati hasi (negative energy) inayoitesa akili na kunyonya mwili.
1. Pombe
2. Nyeto
3 Time wating
4. Procastination
Nexts!
1. Soda+Energies
Vitu nilivopiga ban toka mwaka 2016Vitu Nilivovipiga ban 2023
1.Marafiki wanafiki[emoji706]
2.Rafiki asiye na faida [emoji706]
3.Xxx.com[emoji706]
4.Instagram [emoji706]
5. Pombe aina ya Bia[emoji706]
Kwa nini?