Vitu ambavyo vingefanyika kama Mungu angekuwepo kweli

Mkuu nimeandika kitu Kikubwa sana maishani mwako. Ila hujataka kukielewa kwakua hakijathibitishwa na umoja wa mataifa ya ulaya. Think twice
Umeandika kitu kikubwa maishani mwake?hivi katika uzi huu unaweza kulisaidia vipi taifa lako. Eti unajinasibu kuwa una uwezo mkubwa wa kufikiri. Hivi aliyegundua hicho kifa unachotumia kuleta upuuzi huu humu atakuwa na uwezo wa kiasi gani? Umefanya jambo gani kuu mtaani kwako la ajabu?
 
Natatanishwa sana na hio imani ya maganga wa kienyeji,Mungu yupo..heri uwe na hofu ya Mungu kuliko kutokuamini sababu ikitokea ukaonana nae,then hukuamini uwepo wake..!
 
People are coming to their senses
 
Sioni tatizo kama watu wanataka kufilana maadamu hawafanyi hadhani let them enjoy! if at all they are enjoying anyway. Ingawa binadamu from moral point of view it is against morality but not your God _usichopenda kufanyawa usimfanyie mwenzio. That is my principle anyway
 
ukitaka kumuona Mungu yupo sana na anajidhihirisha mara nyingi tu mbele yetu na usipotaka kumuona pia hutamuona kabisa na hutaamini kama yupo!
 
Mimi siamini kama kuna mungu kwa sababu moja tu,

Nayo ni kwamba wale wanaodai kuwa mungu yupo wameshindwa kuthibitisha madai yao.
Nimeshawaendea marafiki wengi wanithibitishie, lakini nikaishia kupewa vitisho, kwamba usipoamini utachomwa we amini tu. Wengine wamesema jambo baya litakupata wakati wowote kwasababu huamini, wengine wakasema umevuta bangi wewe,unakufuru.
Mimi niliona hawana hoja, ila wamejikita kwenye vitisho, woga wa afterdeath na mambo mengine mengi. They were more based upon fear than facts and logic. Kwaiyo mi nikaendelea na msimamo wangu
Nikawaambia siku nyingine mkiweza kunithibitishia kuwa yupo mje kunipitia namimi twende kusali.

Niliwaambia pia kuwa mimi huwa napenda nishuhudie miujiza mikubwa mikubwa mfano kama mtu alikatika mguu atapona.
 
Natatanishwa sana na hio imani ya maganga wa kienyeji,Mungu yupo..heri uwe na hofu ya Mungu kuliko kutokuamini sababu ikitokea ukaonana nae,then hukuamini uwepo wake..!
Please come on, Huyo Mungu atanipenda Mimi ambaye nahoji mambo. Mama umeona post , if somebody comes and claims to be Jesus, should I believe him or her? Is there justification for me to query his words? Nitajuaje matapeli wa dini ? Think
 
There is no god either u like or not,
1.Hakuwezi kuwa na mungu aliyeumba dunia dhaifu namna hii,dunia ambayo maovu yanawezekana dunia bayo ina chuki visasi vifo magonjwa n.k lakini huyo mungu (kama yupo) aliuona mwema huh ulimwengu.
2.HakuweZi kuwa na mungu ambaye anawaambia wanadam wavae mabomu na kujilipua mbele za watu wengi wakimtetea jina lake kisha huyo mungu atawapa zawadi hakuna logic
3.Hakuna mungu aliyeshindwa kutufanya tumjue automatically kama vile tunavyovyta pumzi badala yake et tunamsoma darasani na makanisani
4.Hakuwezi kuwa na mungu ambaye anasema katupa uhuru wa kumuabudu yeye ama shetan lakini ukimwabudu shetani siku ya mwisho anakuchoma moto!
5.Hukuwezi kuwa na mungu ambaye anapata hasira na huzuni na ghadhabu huyo sio mungu.
NOTE THIS:THERE MIGHT BE GOD BUT NOT THIS GOD OF THE CHRISTIANS,MUSLIMS,BUDHA,JEWS AND HINDU
 
Basi kwataarifa yako, mtu ambaye katengeneza hiki kifaa hakupoteza muda wake kuamini upuuzi wenu mnaouita mungu. Mdogomdogo tutafika. Kama nimeweza kushtuka kwenye upuuzi huo. Basi wanangu watafanya maajabu. Kikubwa ni kuwaandalia mazingira
 
Reactions: lsn
Natatanishwa sana na hio imani ya maganga wa kienyeji,Mungu yupo..heri uwe na hofu ya Mungu kuliko kutokuamini sababu ikitokea ukaonana nae,then hukuamini uwepo wake..!
Kumbe wewe unaamini kwa kuwa una hofu? Pole sana mkuu
 
Reactions: lsn
Mhhhhh
 
Usikurupuke kunijibu mimi maana uwezo wangu wa kufikiria ni mkubwa sana. Kumbuka hizo unazoziita shule, zililetwa ili utawaliwe. Yaani wakufundishe vitu ambavyo huvijui alafu wakutumie
Uzima mda mwengine huleta tabu hasa has watu kama nyinyi mnao ota mkiwa mko macho.
Haya nambie unauwezo gani wakufikiria ambacho hakija fikiriwa?,

Kuna wapumbavu kuliko ww walikuja na wakasema hakuna mungu ila leo wako wapi?, basi na waweze kuendelea kuishi kadri watakavyo penda wenyewe, ndugu yangu, hii dunia ni ya kila mtu na wote wanahaki nayo, Mungu ameweka mifumo maalum ya kukontol na kupanga maisha yetu, sasa jiulize ni nani anye fanya haya yote, na kwanini asionekane au kujionesha?, yupo anayefanya haya yote ila ww humjui, nakushauri soma na tafuta ili ujue, sio kujion best kwakuwa unafikiri kwani hata mbuzi na paka na wao pia wanafikiri ndio maana wanajua kula kunywa kunya na mengineyo
 
Sawa,bora kuamini yupo hata kama hayupo bas.Then unasema hayupo,then umkute live! Hata hivyo imeandikwa,hata wale ambao hawakumjua Mungu, ila waliishi kadri ya amri zake wataokolewa!
 
"Hata wale ambao hawakumjua Mungu, Bali waliishi kadri ya amri zake wataokolewa! Ndugu,mwenye masikio na asikie!
 
Wewe unaandika uliyofundishwa, Ila mm naandika kwa uwezo wangu. Kwa kifupi ni kwamba hayo unayoyasema niliyajua tangu kitambo. Ila haya yangu mm ni mageni masikioni mwako ndio maana unaona ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…