Vitu ambavo wanawake hawapendi

Vitu ambavo wanawake hawapendi

Kilboy

Member
Joined
Jul 22, 2025
Posts
62
Reaction score
138
Humu ntaenda kuwatajia vitu ambavo wanawake hawapendi. Cha kwanza1.harufu mbaya.2uvutaji sigara.VINGINE MNAWEZA MKAENGEZEA HAPO.VITU GANI AMBAVO WANAWAKE HAMVIPENDI KUTOKA KWA MWANAUME.
 
Kumbe hata wewe mwenyewe hujui kitu tusichokipenda kwa mwanaume.
 
Wanawake hawapendi mtu asiye na hela nje na hapo hakuna jipya
 
1. Kukosa matunzo.
2. Madharau
3.Muongeaji
4.mtumiaji
5.mlevi
6.mfuatiliaji
 
Penseli katika ubora wako, soon utaanza kuyafunua makucha yako 😹😹

Kwanza unawavutia kwenye mtego wajae uanze kuwatukana na kuwapa dislike..!!
 
Tatizo mnawapaga uspecial sanaaa, kwani ww unapenda vitu vyote?
 
Back
Top Bottom