RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 59,510 Reaction score 135,559 Jul 1, 2016 #21 Chapa Nalo Jr said: Elewa kuwa hawavai hivyo kila siku bali siku hiyo kuna sherehe za kitamaduni. Click to expand... Naongelea utamaduni halisi wa afrika walikuwa wanavaa hivyo ila tumebadilika baada ya wazungu na waarabu kuja kututawala.......Kama umenisoma vizuri niliandika 'afrika mambo YALIKUWA nje nje' Hawa hapa chini sio wa 'mswati'
Chapa Nalo Jr said: Elewa kuwa hawavai hivyo kila siku bali siku hiyo kuna sherehe za kitamaduni. Click to expand... Naongelea utamaduni halisi wa afrika walikuwa wanavaa hivyo ila tumebadilika baada ya wazungu na waarabu kuja kututawala.......Kama umenisoma vizuri niliandika 'afrika mambo YALIKUWA nje nje' Hawa hapa chini sio wa 'mswati'
S Saving account Member Joined Jun 28, 2016 Posts 21 Reaction score 22 Jul 1, 2016 #22 bhac sawaa.......lakini mi naona si adimu sanaaaa.Ingekuwa adimu ungepata picha si zaidi ya 2
Amon Mtekateka JF-Expert Member Joined Jun 4, 2014 Posts 1,225 Reaction score 333 Jul 1, 2016 #23 Duuuh kwel nmeviona #live_and_die_in_africa