Mwisho wa kukoment ndio huuJamani,kwa wenye uzoefu au uelewa,vitovu vikubwa kwenye mahusiano huongeza hamasa au hupunguza? hii nikwa wote,men and women
Hahaa nakipenda bure tuuna kazi gani nacho🙄🙄
Siwez bana vitu vingine havitaki ujuajimnnnh🙄🙄
sema bwanaaa
Wasted sperm
The brainy part was lost on the chase for ovumYeah out of a million others 😀😀 he made it but chose to be dumb.

MmmhVitovu Vikubwa vinatokana na enzi ya utoto walikuwa wanalia sana.