Vitoto vya kibongo kumbe vitamu

Nyie vipi!! Hebu acheni vitoto vya kibongo visifiwe.
 
Kumbuka na dada yako hivyo hivyo hata kama wasomaliwanasifika kwa uchafu na roho mbaya. Huna haja ya kuandika mambo ya kipuuzihapa. Au ni wale wasomali wanaojiita waarabu wakati ni wamakonde wa kawaida.Kabla ya kuwalenga dada za wenzio kumbuka una dada hata mama. Hivi utajisikiajeukiambiwa mama yako mtamu? Tumia akili vizuri.
 

Hujatulia kwel wew! Tna Aibu huna!unakujaje Bongo ndan y miez mi3 na kuzoeana na Kibint nakuki....
 
Mh! Dah! Nakosa hata la
kucomment, aniways hongera, ila account name yako ya facebook umeweka
ili? Yaani kusudi kuu ni?

Ana invite mabint wa ki TZ.
 

huna Lolote!KAPIME NGOMA.
 
tehe tehe that's why i luv Jamii Forums....yaani wee acha tu.....
True very true..., everyone can speak their mind.., the wonders of open forum and where we dare speak openly..!! I really missed JF...
 
Kwa inavyoonekana wewe ni mmbea sana,huyo rafiki yako mnayefanya kazi nae sidhani kama anajiskia vizuri kwa jinsi unavyomtangazia. Mambo yenu mlifanya kwa siri endelea kuifanya siri. Haki ya nani kama ndio mimi huyo mdada,ningeachana na wewe limbukeni wa mapenzi. Kuwa mstaarabu. Mtoto wa kiume haufai kuwa mmbea.
 
Acha kutuzingua wewe tangu lini msomali akaitwa Juan San Roman?? majina yenu ni Aidid,Ismail Aden Rage,Bashe etc.. Juan Roman????!!!
 
Tunahitaji jukwaa la vichaa!
Sasa kuwa kwako nje ya nchi, kuwa msomali, kufanya dt dobie, na utamu wa mabinti wa kiswahili vyoote kunahusianaje na fb account yako? Ama unaomba jamvi? Kuwa muwazi kabla sijaenda kukusaka fb basi

bahati yako natumia TECNO wewe...ningekugongea bonge la LIKE...hata ivyo kesho ntaenda internet kef kwa ajili yako!...jukwaa la vichaa muhimu!
 



So what????
 
i am looking for freinds.....u can add me babe S

If am not wrong you came to the wrong Fora! Kuonjeshwa tuuu umeona The home great thinkers ndio pa kutafutia wachumba??? you are not serious... utoto unakusumbua... ati ulikuwa nje ya nchi kimasomo!!! ndio unauza cv sio??? anakutosha
huyo staff mwenzio wa Tigo the rest sio watamu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…