Hakuna adhan ya hivyo na hiyo si tafsir ya adhanaManeno hasi ya Azana yananifanya nisilale kila ifikapo alfajiri.
Kwa mbali naskia "Swalah Swalah
Kitanda chako ndio kaburi lako
Usingizi wako ndio kifo chako
Shuka lako ndio sanda yako" na maneno mengine ya kukutoa kitandani.
Aaaah Jamani eeeh
Oya hz Mambo Kama wangeweza kupigiana simu waambiane muda wa kuswali umefika ingependeza zaidi
Mana tunaosikia hivyo vitisho ni wengi hasa ss tunaolala nusu nusu
Najua Sehem ya wahusika mnasoma na isiishie hapo mkaambiane huko uongozini Mana hw wa mtaani kwang wanajitia viziwi
Wenyewe wanakwambia hayo yote yapo kitabuniHaya Mambo yapo hata china? Superpower, au ni upuuzi wa jamii maskini,
Jamii zinazokumbatia dini kwenye kila nyanja ya maisha, huwa maskini Sana,
Dini inatakiwa kubaki na Mambo ya kiroho tu, kutatua Mambo ya kimwili, ki uchumi, sayansi, tekinolojia, hauhitaji msaafu na bible na kukalili vifungu vya biblia,
Samsung Galaxy, Toyota V8, Prado, nk zimetengenezwa na watu wenye kutumia bongo sawa sawa, sio religiuos fanatics
Hakuna adhan ya hivyo na hiyo si tafsir ya adhanaManeno hasi ya Azana yananifanya nisilale kila ifikapo alfajiri.
Kwa mbali naskia "Swalah Swalah
Kitanda chako ndio kaburi lako
Usingizi wako ndio kifo chako
Shuka lako ndio sanda yako" na maneno mengine ya kukutoa kitandani.
Aaaah Jamani eeeh
Oya hz Mambo Kama wangeweza kupigiana simu waambiane muda wa kuswali umefika ingependeza zaidi
Mana tunaosikia hivyo vitisho ni wengi hasa ss tunaolala nusu nusu
Najua Sehem ya wahusika mnasoma na isiishie hapo mkaambiane huko uongozini Mana hw wa mtaani kwang wanajitia viziwi
Walitolea ufafanuzi kuwa ni utashi was Watu binafsi.Hakuna adhan ya hivyo na hiyo si tafsir ya adhana
Naona ulitaka kuufanya Uzi wangu kuwa wa kiarabu ?Fadhakir fainna maan antadhikra
Kwamba hujawahi kusikia vitisho hivyo?!Hakuna adhan ya hivyo na hiyo si tafsir ya adhana