Viti vya plastic vinapatikana

Fredy89

Member
Joined
Jun 28, 2012
Posts
99
Reaction score
111
Jipatie viti vya plastic kwa matumizi ya nyumbani na sehemu mbalimbali kulingana na mahitaji yako.ukihitaji unaletewa popote ulipo kwa wateja wa dar unaletewa bure na wa mikoani tuna tuma pia kwa njia ya mabasi.bei ni 22000
Contact: 0717388265

 
Hivi viti unakaliaje? hapo mtaa wa agrey na sikukuu uko tuu barabarani?
 
nataka pc kama 4 chukua elfu 15 kwa kila pc. Kama upo tayari ni pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…