Viti vya barbershop

The Big Brain

Member
Joined
Mar 8, 2023
Posts
24
Reaction score
38
Habari zenu ndugu!!
Naomba kwa yeyote ambae anaweza kuniuzia viti vya barbershop (used)
Au mwenye connection ya wap naweza kupata hvo viti lkn used bas tuwasiliane.

Bajeti yangu kidogo imeyumba ndio maana ninatafuta used na sio vipya
 

Unataka viwe hivyo hivyo kama kwenye picha??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…