KIGOMA MUENDE MATYAZO,LUGUFU hata Ulombola vipoMkuu KYALOSANGI malizia basi, na kwa sisi wa kigoma twende wapi? teh teh!
habari wadau ndugu zangu nina mpango wa kufungua barbeshop sasa naulizia mwenye ufahamu wapi? naweza pata viti vizuri vya gharama ya kawaida offer yangu mi laki tano(500,000) kwa kiti kimoja naombeni maujanja yenu