CHAMA CDM kilipata kula nyingi za urais mkoa wa shinyanga pia wapo wabunge kutoka mkoa huoJamani hii ni haki? CHADEMA ina kiti zaidi ya kimoja katika mkoa wa Shinyanga lakini haina mbunge wa viti maalum kutoka katika mkoa huo ilhali Mkoa wa Singida una Mbunge wa viti maalum wakati ina mbunge mmoja tu wa jimbo tena mbunge huyo ni kaka wa mbunge wa viti maalum> Nisaidieni hili!
Next time gombea viti maalum
Ndugu zangu wa Chama cha domokrasia na Maendenyuma aka Chama cha Mazishi jaribuni kujibu hoja acheni jazba na hasira!

Rev, hakyianani ulasekya na bafile!! (utachekesha na walokufa)Next time gombea viti maalum
Hapa zinajibiwa hoja sio upupu! Siku nyingine fikiri kwanza halafu leta hoja.
Next time gombea viti maalum