28,000/= ina vipande vingapi?Jipatie vitenge grade 1 kwa bei rahisi kutoka kwetu kwa sh 28,000 tu za kitanzania.
Kwa hapa Dar tunafanya delivery na mikoani tunatuma kupitia mabasi kuanzia pieces 5 na gharama za usafiri unalipia
Ni vitenge vizito ambavyo havichuji. Vinatokea Congo, Ghana na Thailand.
Kwa mawasiliano piga simu namba 0762905779View attachment 1570476View attachment 1570477View attachment 1570478View attachment 1570479View attachment 1570480View attachment 1570481View attachment 1570482View attachment 1570483View attachment 1570484
Ahsante, ngoja nimueleze alie ulizia anaweza kukupigia yeye au mie.Vipande vitatu. Karibu sana
Mbona kama navitaka vyote sasa, ni pcs ngapi?Jipatie vitenge grade 1 kwa bei rahisi kutoka kwetu kwa sh 28,000 tu za kitanzania.
Kwa hapa Dar tunafanya delivery na mikoani tunatuma kupitia mabasi kuanzia pieces 5 na gharama za usafiri unalipia
Ni vitenge vizito ambavyo havichuji. Vinatokea Congo, Ghana na Thailand.
Kwa mawasiliano piga simu namba 0762905779View attachment 1570476View attachment 1570477View attachment 1570478View attachment 1570479View attachment 1570480View attachment 1570481View attachment 1570482View attachment 1570483View attachment 1570484
Mimi pia nataka kujua duka nikachague phyisicallyUna duka mkuu maeneo gani?
Kabisa tomaso mwenzangu, VITENGE ni vzuri mno ngoja tukapambne navyo liveMimi pia nataka kujua duka nikachague phyisically
Naona haya maswali ya duka liko wapi hataki kuyajibu tumeuliza toka awali anayapita tuMimi pia nataka kujua duka nikachague phyisically
Tumpe muda labda yuko busy na watejaNaona haya maswali ya duka liko wapi hataki kuyajibu tumeuliza toka awali anayapita tu
Pia amasema anauza na jumla tumeuliza jumla kuanzia vitenge vingapi au ata kimoja bado kaminya?![]()