Vitenge grade 1 vinauzwa kwa bei nafuu

Vitenge grade 1 vinauzwa kwa bei nafuu

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
6,474
Reaction score
8,139
Jipatie vitenge grade 1 kwa bei rahisi kutoka kwetu kwa sh 28,000 tu za kitanzania.

Kwa hapa Dar tunafanya delivery na mikoani tunatuma kupitia mabasi kuanzia pieces 5 na gharama za usafiri unalipia

Ni vitenge vizito ambavyo havichuji. Vinatokea Congo, Ghana na Thailand.

Kwa mawasiliano piga simu namba 0762905779
IMG-20200915-WA0028.jpg
IMG-20200915-WA0029.jpg
IMG-20200915-WA0030.jpg
IMG-20200915-WA0031.jpg
IMG-20200915-WA0032.jpg
IMG-20200915-WA0033.jpg
IMG-20200915-WA0034.jpg
IMG-20200915-WA0035.jpg
IMG-20200915-WA0036.jpg
 
Lipia tangazo, hivyo vitenge vya wapi ? Yaani vimetengenezwa hapa tz au nje ya taifa hili maana picha nlhaiyinyeshi ubora wa nguo mpaka uishike je NI mtelezo? Ofc yenu ipo wapi ?

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Hahaaaa sawa nitalipia mkuu.
Ngoja niongezee nyama kidogo
 
Mashallah!ni vizuri kwelikweli una choice nzuri
 
Back
Top Bottom