USALAMA ZANZIBAR: IGP Mangu asema vitendo vya uhalifu Z’bar ni matokeo ya Maalim Seif Sharif wa CUF kupandikiza chuki kwa wafuasi wake dhidi ya serikali na CCM.
#Mwananchileo
#Mwananchileo
IGP Mangu amesema "vitendo vya vya uvunjifu wa amani Zanzibar vinatokana na Maalif Seif kuwachochea wafuasi wake.... na Jalada lake liko kwa DPP kwa hatua ya kupelekwa Mahakamani." Interview Mangu/ Muhando Azama TV.USALAMA ZANZIBAR: IGP Mangu asema vitendo vya uhalifu Z’bar ni matokeo ya Maalim Seif Sharif wa CUF kupandikiza chuki kwa wafuasi wake dhidi ya serikali na CCM.
#Mwananchileo
Aksante sana Baraghash kwa kuelezea kwa kinaIGP Mangu amesema "vitendo vya vya uvunjifu wa amani Zanzibar vinatokana na Maalif Seif kuwachochea wafuasi wake.... na Jalada lake liko kwa DPP kwa hatua ya kupelekwa Mahakamani." Interview Mangu/ Muhando Azama TV.
Amesema Jeshi la Polisi haliko juu ya sheria linaweza kulalamikiwa kupitia mahakama au Viongozi wao wajuu kama vile Waziri Waziri Mkuu, Makamu wa Rais au Rais.
Pia amekanusha kwa hoja na mifano kuwa jeshi lake halitumikii Chama fulani! .Muhando alionekana kuwa muangalifu zaidi kuhusu maswali yake na hata pale inaponekana majibu hayakidhi haja alishindwa kuikazania hoja yake.