Nadhani ni njia rahisi ya kubana matumizi. hata mimi nimeshawahi kulala gesti yenye kitanda cha zege hapo Dar! ile gesti nilitokea kuichukia sana na niliapa kutokwenda kulala pale tena. Sikuvutiwa na aina ile ya kitanda kwa kweli.
mbaya zaid wanaweka yale magodoro ya promotion, yaan Ni Kama unagusana Na zege utageuka kila upande Kama umelala chin.....ila naskia wamefanya hivyo kwa maana wale WA short time wanaokimbizana Na muda wanavunja xna vitanda.