Vitanda vipya vinauzwa mawasiliano

mukide95

Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
36
Reaction score
8

Tupo buza/temeke/dar es salaam

Vyenye mto wa kuegemea ni sh.280000
visivyo na mto ni sh.250000
contacts:0654381414
 
Aisee biashara haifanywi kwa kujificha hivyo!!!....kumbuka mficha uchi hazai![emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Huyu kapita kaviona akapiga picha akaweka hapa Kama dalali Ndio Maana tangazo lake halieleweki hata kujibu comment za wadau ameshindwa
 
Huyu kapita kaviona akapiga picha akaweka hapa Kama dalali Ndio Maana tangazo lake halieleweki hata kujibu comment za wadau ameshindwa
Ni biashara yangu mkuu sema tangazo halikukamilika
 

Kitanda kama hichi naweza kupata? Kiwe na godoro kama hili.
 
Mmmmh makubwa, Mzigo unakulaje hapa? [emoji16][emoji23][emoji4][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…