Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,155
- 13,378
Habari zenu wakuu?
Ninahitaji kukodi vitanda vya kulalia (godoro,mito,mashuka na mablanketi yake) ukubwa ni kuanzia futi 3X6,4X6,5X6 na 6X6.
Pia hata kama una double deck unaweza kunijuza,vitanda aina zote zote vinakubaliwa viwe vya chuma au mbao.
Vitanda vinahitajika kwa kukodisha kwa muda mfupi hapa Arusha mjini.
Ikiwa unavyo,tafadhali tuwasiliane 0752489529