Vitanda bora vya sofa kwa bei ndogo kuanzia laki mbili tu, hebu vicheki

Kweli unaweza kukuta ametumia mbao za kuokoteza akilala Chibonge Chini.... Ila all in all ni vizuri
Weka mfano wa kitanda ambacho umetengeneza kabla ya kuweka hayo masofa tuone muundo na uimara wake kabla hatujakutafuta
 
Nikikupa cha mbao ukifanyie mautundu utafanya kwa bei gani? Muundo kama hicho cha bluu
Cha mbao mkuu ni chaga tu ndo zitatumia kwa sababu frame ya kitanda cha kawaida cha mbao ni tofauti na frame ya kitanda cha sofa.
 
Kweli unaweza kukuta ametumia mbao za kuokoteza akilala Chibonge Chini.... Ila all in all ni vizuri
Hata wakilala vibonge kumi vitanda ninavotengeneza ni imara, natengeneza kitu ambacho nina uhakika nacho huwa sitengenezi
Kweli unaweza kukuta ametumia mbao za kuokoteza akilala Chibonge Chini.... Ila all in all ni vizuri
Hata wakilala vibonge kumi kitanda kipo imara, sitengenezi kitanda kumuibia mteja. Na sijawahi kupata malalamiko yoyote kutoka kwa wateja wangu zaidi ya kupata wateja wengine kupitia hao wateja niliowatengenezea. Kuhusu ubora wa vitanda nipo vizuri.
 
Ukiona kitu kinakuwa covered na mashukashuka na urembo ujue ndani kuna siri nzito. The day sofa langu seating room lilifumuka ndio nikajua kuwa sidiria na gagulo zilizoisha zinaweza kuwa reused
Ni kweli kabisa mkuu unachokisema lakini inategemea na mafundi na kwa upande wa kitanda sio rahisi kufanya hivi maana structure ya kitanda ni tofauti.
 
Hizi ni mbao ninazotumia ungawaje hilo ni kochi lipo ktk hatua ya mwanzo kabsa
 
Kitanda cha sofa ni kile mchana unakitumia kama sofa na usiku unakikunjua kuwa kitanda kama cha kwenye treni.
 
Mkuu cha sofa umemaanisha nini kwamba mchana unakivuta sebuleni watu wanakalia au maana sijaelewa kabisa. Mbona proportion ya kutoka ya tofauti ya bei mfano tano kwa sita na sita kwa sita kimahesabu hazisomi.unapofanya biashara mkuu fanya kisayansi . Portion inayoongezeka hailingani na tofauti ya bei
 
Ukiona kitu kinakuwa covered na mashukashuka na urembo ujue ndani kuna siri nzito. The day sofa langu seating room lilifumuka ndio nikajua kuwa sidiria na gagulo zilizoisha zinaweza kuwa reused

Vp hujakuta na vyupi mkuu ??
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…