Vitambulisho vya wajasiriamali

Vitambulisho vya wajasiriamali

sarcomere1

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2018
Posts
330
Reaction score
634
Wakuu naomba kuelekezwa namna ya kupata kitambulisho cha ujasiriamali vya rais Dr Magufuli

Nini kinahitajika hadi ukipate, sehem vinapopatikana kama ni halmashauri au ofisi za TRA naomba kujuzwa
 
Back
Top Bottom