Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,071
- 2,010
Buku la nini wakati anajifunza Kazi?Sasa hapo akija mtu kubadilisha tyre dogo hapati haja buku? Ndo hivyo huo nao ni ujasiriamali
Ni kweli lakini anayejifunza ufundi ni mjasiriamali?Kitambulisho cha wajasiliamali ni kwa mtu yeyote ambaye hajaajiriwa na kipato chake hakifiki kiwango cha kuwa na TIN ya biashara au Leseni ya biashara.
Miaka mingi tumekuwa tukilalama kwamba Tanzania wigo wa kodi ni mdogo sana. Sasa inabidi tuanze change mindset yetu, tujue kila tufanyalo yatupasa kuweka kodi in equation.
Sidhani Kama ni sawa. Mwenye garage anatakiwa kuwa na vibali pamoja na kulipa Kodi, huyo dogo Kama mfanyakazi. Nahisi dogo anadanganyaBuku la nini wakati anajifunza Kazi?
Narudia tena, watanzania tunahitaji badilishwa mind set yetu, kwenye dunia ya kwanza vijana wadogo wanaanza file tax return zao wenyewe, in return wanakuwa wakijua kodi ni wajibu.Ni kweli lakini anayejifunza ufundi ni mjasiriamali?
Yeye sio fundi, ila yupo pale ni mwanafunzi anajifunza ufundiKitambulisho cha wajasiliamali ni kwa mtu yeyote ambaye hajaajiriwa na kipato chake hakifiki kiwango cha kuwa na TIN ya biashara au Leseni ya biashara.
Miaka mingi tumekuwa tukilalama kwamba Tanzania wigo wa kodi ni mdogo sana. Sasa inabidi tuanze change mindset yetu, tujue kila tufanyalo yatupasa kuweka kodi in equation.
Ndo hvyo, yeye sio fundi hapo ila anajifunza ufundiBuku la nini wakati anajifunza Kazi?
Ila kuna mtu wa pembeni nimemuuliza amenambia ni kweli wanatakiwa kuwa na vitambulisho, sasa najiuliza hela ya kitambulisho atatoa wapi wkt yeye hana kipato pale bali anajifunzaSidhani Kama ni sawa. Mwenye garage anatakiwa kuwa na vibali pamoja na kulipa Kodi, huyo dogo Kama mfanyakazi. Nahisi dogo anadanganya
Dah pole sanaIla kuna mtu wa pembeni nimemuuliza amenambia ni kweli wanatakiwa kuwa na vitambulisho, sasa najiuliza hela ya kitambulisho atatoa wapi wkt yeye hana kipato pale bali anajifunza
Narudia tena, watanzania tunahitaji badilishwa mind set yetu, kwenye dunia ya kwanza vijana wadogo wanaanza file tax return zao wenyewe, in return wanakuwa wakijua kodi ni wajibu.
Hapa kwetu mwanafunzi anaonekana hastaili lipa kodi, wakati si sawa waweza kuwa mwanafunzi ukawa unafanya kazi zinazokuingizia kipato, hivyo kodi unatakiwa ulipe.
Issue moja nnayoiona kwa wengi ni kwamba kwenye pricing, watu wengi hawaweki kodi into consideration. Kama kubadili tairi moja ni TSh 500/=, huyo kijana itambidi aanze charge TSh 600/= ku offset kodi anayolipa kupitia kitambulisho chake. Hivyo ndivyo maisha huenda.
Nafikiri hujanielewa mkuu, nchi za wenzetu unazozungumzia ni kwamba, kwa mfano, mtu ni mwanafunzi anasoma UDSM lkn ktk muda wake wa ziada anaenda beba box Mlimani City, huyu sawa anapaswa kulipa kodi coz anapata kipato!! Sasa huyu anajifunza ufundi hapo yeye halipwi bali anapata ujuzi tu! Gari ikiletwa matengenezo anayechukua hela ni fundi mkuu sio yeye!! Gari ikiletwa kubadilishwa tairi malipo ya hyo kazi hachukui yeye!! Nadhani umenielewa sasa! Ebu nikuulize swali, je, wanafunzi wanaosomea ufundi huo huo wa magari VETA wanahivyo vitambulisho?!
Ila kuna mtu wa pembeni nimemuuliza amenambia ni kweli wanatakiwa kuwa na vitambulisho, sasa najiuliza hela ya kitambulisho atatoa wapi wkt yeye hana kipato pale bali anajifunza
Yap! Ni kweli mkuu, maana naskia(tetesi) kuwa huko Arusha kuna walimu pia wamepewa hvyo vitambulisho wauze! Mimi nafikiri wenye mamlaka waliangalie vizuri hili suala maana litamfitinisha Mh. Rais na wananchi wakeNilichogundua wakuu Wa mikoa,wilaya na watendaji wanalazimisha watu wanunue vitambulisho hata kama hawastahili ili waonekane mikoa yao imeuza vitambulisho vingi hususani baada ya ripoti ya performance kutolewa na baadhi ya mikoa kuonekana ipo chini, kwa hili lisipoangaliwa kwa umakini nimoja ya sababu itakayo mpa mh. Rais wakati mgumu hapo 2020.
Mie nasikiaga huku TRA ukihitaji TIN Namba in bure he nikiwa na hiyo TIN ya TRA Bado nitaulizwa kitambulisho cha mjasiriamali? Hebu nielewesheni mnaojua Haya mambo ya TIN NA VITAMBULISHO YAKOJE?