Vitambulisho vya Taifa

Vitambulisho vya Taifa

boobookitty

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2015
Posts
255
Reaction score
174
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Naomba kufahamu namna gani nitapata namba ya kitambulisho haraka iwezekanavyo ikiezekana baada ya week mbili kwani nina safari ya ghafla na habari nilizopata inabidi usubiri baada ya mwezi kupata namba ambayo itaniwezesha kupata passport ya kusafiria. Jibu lako pia litawasaidia na wale wasiokua navyo kabisa.
 
Beba ithibati za safari I mean nyaraka nenda nazo NIDA utasaidika
 
Ulikuwa wapi mda wote mpaka leo? Peleka vitambulisho ulivyo navyo na uoneshe umuhimu wa safari yako labda unaweza kufanikiwa
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Naomba kufahamu namna gani nitapata namba ya kitambulisho haraka iwezekanavyo ikiezekana baada ya week mbili kwani nina safari ya ghafla na habari nilizopata inabidi usubiri baada ya mwezi kupata namba ambayo itaniwezesha kupata passport ya kusafiria. Jibu lako pia litawasaidia na wale wasiokua navyo kabisa.

Thibitisha kuwa wewe ni raia wa Tanzania pasi na shaka. Unaweza kupata, lakini kama wewe ni sawa na wale wenye uraia wenye utata, bora ahirisha hiyo safari yako uendelee kuishi Tanzania, vinginevyo hata huo ukazi wa kuibia utapoteza.

NIDA wanajitahidi sana kufanya kazi hii kwa weledi, licha ya matatizo madogo madogo yaliyopo mantiki yao nzuri. Baada ya zoezi kwisha naamini tutagundua maelfu ya wasio watanzania wenye passport zetu.
 
. nimeipitia vyema.

UWELEDI WA NIDA UKO WAPI KAMA SI KUTENGENEZA MAZINGIRA HATARISHI, NIDA WANATAMBUA MIKOA 6 TU ISIYOPAKANA NA MIPAKA KWAMBA NDIYO KUNA WATANZANIA. HUWA NAJIULIZA KWANINI WASIAJIRI WATU KUTOKA KILA WILAYA INAYOPAKANA NI NCHI JIRANI ILI KUPATA TAARIFA RASMI YA MWOMBAJI. AU HAWAKUJIANDAA KUTOA VITAMBULISHO HIVYO AU WANAJITENGENEZEA MAZINGIRA FULANI ?
 
ingia kwenye tovuti ya nida, kuna sehemu pameandikwa kitambulisho utapata ndani ya dakika moja

Hawezi kupata kitambulisho kwa njia hiyo. Hapo ni kwa ajili ya kudownload copy ya kitambulisho chako kama una namba tayari.
 
Back
Top Bottom