Vitambulisho vya taifa!

Kwa wale ambao wameshapata vitambulisho ..kama mtu akipoteza kitambulisho anapaswa kuchukua hatua gani?
 
Mimi, sijasoma, niliishia darasa la 4, wazazi sina, cheti cha kuzaliwa sina, cha shule sina, nafanyaje ili kupata haki yangu?
 
Me naomba kuuliza vp kwa walioandikisha ID awamu iliopita na wakapata ila bahat mbaya kimepotea wanaruhusiwakuandikisha upya au ufate taratibuza kupoteza ID halafu pia unaruhusiwa kuandikisha ID mfano ni mzaliwa wa Morogoro ukaandikisha Dar es salaam?
 
Fata taratibu kwa kama umepoteza. N mahali ulipozaliwa ni muhimu coz ni kwa faida yako mwenyewe
 
Fata taratibu kwa kama umepoteza. N mahali ulipozaliwa ni muhimu coz ni kwa faida yako mwenyewe
Mfano ID nilichukulia Morogoro lkn nikaipoteza Dar es salaam naruhusika kuombea Dar es salaam?
 
Kwa wale ambao wameshapata vitambulisho ..kama mtu akipoteza kitambulisho anapaswa kuchukua hatua gani?
Nimekosa kazi mahali kwasababu ya kupoteza kitambulisho - imeniumiza sana
Jambo la kufanya,

1.Nenda ofisi za NIDA ya wilaya uliyochukulia

2.Watakupa fomu ya kupoteza kitambulisho yenye namba ya kitambulisho chako

3.Ipeleke polisi wakuandikie POLISI LOSS REPORT kwa Tsh 500 tu

4.Then nenda CRDB ulipie Tsh 20,000 ya kukuchapishia kipya ( Kitambulisho cha kwanza tu ndo hutolewa bure ) - Ukienda NIDA siku ya kwanza chukua namba ya ACCOUNT

4. Ukishalipia bank rudi NIDA waoneshe loss report ya polisi na bank paying slip then wao watakuandikia risiti ya serikali - Then utaambiwa usubiri ukachukue baada ya mwezi kupita au watakupigia simu ( Wanasema havitengenezewi hapa nchini )

ALL THE BEST

Cc princess qute Cc Halichachi
 
Kwa wale ambao wameshapata vitambulisho ..kama mtu akipoteza kitambulisho anapaswa kuchukua hatua gani?
Na kwa sisi ambao tulipata vitambulisho vya taifa 2014, vile vilibyokosa signature tunafanyaje,tubaki navyo hivi hivi au tunatakiwa kuanza upya?
 
Unastahili kukamatwa kabisa maana hivyo vyeti vyako vina utata na uraia wako unatakiwa kuchunguzwa.
 
Taarifa hii ndio naisoma je Mimi niko Manispaa ya Ilemela niombe kuuliza Huduma hii inapatikana wapi ktk Manispaa yetu?
 
Na kwa sisi ambao tulipata vitambulisho vya taifa 2014, vile vilibyokosa signature tunafanyaje,tubaki navyo hivi hivi au tunatakiwa kuanza upya?
Unatakiwa ubaki nacho mpaka Muda WA kuexpire utakapoisha,utakapokuja kurenew utapewa chenye signature,ila kama unaona ni lazima sana unahitaji chenye signature fanya utaratibu WA kuomba reprinting of the new national ID hapo utafuata utaratibu kama mtu aliepoteza id,tofauti yako we hautaenda polisi Bali utaenda Nida office iliyokaribu nawe utajieleza na so likely majibu yao watakupa bank account utaenda kulipia 20,000sh kama gharama ya reprinting.Kumbuka gharama hizi ni kwa raia WA tanzania kama we ni mgeni mkaazi au mkimbizi Kuna utaratibu tofauti poa.

Jiandikishe kwa maendeleo ya Taifa.
 
Reactions: OTG
Hapana visivyo na signature havitumiki tena.. Hvyo vinabadilishwa na kupewa vyenye sahihi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…