Nice family..kila mmoja ana kitambi lol
Hapo kimoja tu ndo kinastahili kuwepo tena kwa muda kwa sababu ya ujauzito wengine wote ni unhealthy
Hapo kimoja tu ndo kinastahili kuwepo tena kwa muda kwa sababu ya ujauzito wengine wote ni unhealthy
Hahahah yeah upo sahihi
Mi nina cha Kula Noah
Hicho hata TBS au ISO hawatakusumbua
Maskini tu nyie acheni maneno.
Nice family..kila mmoja ana kitambi lol
View attachment 116622
Mzigo huu hapa sasa
Duh hadi huruma
Huyu hata mambo mengine ya msingi kama mume hawezi kufanya.