Tatizo majina ya mitaa siijui, ila ukifika kariakoo maeneo ya huu upande wa msimbazi police ulizia duka la halima toto shop..ukifika huo mtaa wote una maduka ya vitambaa