Tushawazowea... Yeyote anayewasema huwa majibu kwake ndo hayaMajina bwana kwa kufanana,namkumbuka kuna Padri aliwahi kuja kwenye parokia yetu alikuwa anaitwa Vitalis Maembe,aliwahi kukamatwa anazini na mke wa mkuu wa kituo cha polisi ikabidi wamhamishe fasta kuogopa aibu ya mwaka