Vitalipiwa vinauzwa.

texaz mc

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2016
Posts
371
Reaction score
205
Habari wadau wa JF.

Kwa wale wenye watoto au ambao wanatarajia kwenda kidato cha tano mwezi July Nina vitabu vifuatavyo;-
1. Principle of physics for class Xi by S.chands
2;- Nelkon physics
3;- Pure I & II

Kwa anaehitaji ani pm tuchonge, au reply hapa hapa nitakutafuta.
 
Sorry ni vitabu vinauzwa, typing error due to phone prediction
 
Uza uza mkuu vijana wakaanze kula shule ya mechanics..
 
hapo kwenye Pure ungefafanua kabisa kuwa ni Maths maana sio neno lililozoeleka kama mtu bado hajaingia A level,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…