VITABU

Bedui la bongo

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2018
Posts
297
Reaction score
307
Wana JF kwa yoyote mwenye vitabu vya alfu lela ulela tuwasiliane wakuu tufanye biashara
 
Wana JF kwa yoyote mwenye vitabu vya alfu lela ulela tuwasiliane wakuu tufanye biashara


Jaribu kwa yule RC aliyesema atafyekelea mbali watumishi, huenda ana copy
 
Kina kimoja ninacho soft copy ila kuipandisha hapa jukwaani inanipa shida cjajua labda kwa kua natumia app ila kama kuna m1 ataweza kukiweka hapa jukwaani ili kila m1 akitaka akipate kwa urahisi namkalibisha pm achukue kwa sharti moja tu lakuja kukipandisha hapa jukwaani

Nb: sitaki senti yako kiasi chochote kile (ntaitoa free)
 
Haina shida hata ukikiweka humu JF ila ntapenda nikipate pia
 
Vitabu vimejaa kwenye maduka, hata hawa wauzaji wa mitaani ukiwatafuta vitabu wanavyo kwa bei za 7,000 - 10,000/- Dar, mikoani sina uhakika.
 
cha lugha Gani mkuu??
 
Reactions: a45
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…