Vitabu vya Simulizi, Mikasa, Machombezo vinauzwa

Ambakucha

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2019
Posts
430
Reaction score
727
Vitabu; 1. Mke Wangu Nusu Mtu, Nusu Jini. 2. Robo ya Watu Dar ni Misukule. 3. Godoro la Mitumba. 4. Mwanamke Kabla Hajaolewa Awe Ametembea na Wanaume Wangapi? 5. Mjini Msingi Kiuno. 6. Mama Yangu ni Jini. 7. Chuo Kikuu cha Wachawi. 8. Uchawi wa Mchungaji Stephano. 9. Namchukia Mke Wangu na vingine vingi. Unaweza kuletewa ulipo. Tuma sms 0752524981 kujua bei na utaratibu wa kupata.
 
Ulivovitaja ungetaja na bei ili mtu ajitathmini kipi anaweza kuchukua na kipi asichoweza.Hivi kibiashara huwa mnafeli wapi? Yaan nitumie vocha yangu kukuuliza bei je biashara ikishindikana utanirudishia jero langu?
 
Vitabu; 1. Mke Wangu Nusu Mtu, Nusu Jini. 2. Robo ya Watu Dar ni Misukule. 3. Godoro la Mitumba. 4. Mwanamke Kabla Hajaolewa Awe Ametembea na Wanaume Wangapi? 5. Mjini Msingi Kiuno. 6. Mama Yangu ni Jini. 7. Chuo Kikuu cha Wachawi. 8. Uchawi wa Mchungaji Stephano. 9. Namchukia Mke Wangu na vingine vingi. Unaweza kuletewa ulipo. Tuma sms 0752524981 kujua bei na utaratibu wa kupata.
Bei ni Tsh. 10,000 na ya usafiri hapohapo kama utataka kuletewa. Tsh. 8,000 kama utafuata mwenyewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom