J joely JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 1,055 Reaction score 576 Jun 22, 2022 #1 Salaaam. Wajumbe naomba ushauri kwa mwenye kujua kitabu ninachoweza kumpa mtoto wa shule ya msingi ili asome apate kuwa na maarifa makubwa ya kidunia (Ujasiriamali, au critical thinking)
Salaaam. Wajumbe naomba ushauri kwa mwenye kujua kitabu ninachoweza kumpa mtoto wa shule ya msingi ili asome apate kuwa na maarifa makubwa ya kidunia (Ujasiriamali, au critical thinking)