Vitabu vya kilimo na ufugaji

nimechafukwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
290
Reaction score
237
Jamani kwa ambao wana pdf kwa lugha ya kiswahil zinazohusu kilimo kama cha nyanya. Vitunguu. Pilipili hoho na ufugaji wa nguruwe na kuku watusaidie kutupia uku jukwaani.
 
Reactions: CDG
Jamani kwa ambao wana pdf kwa lugha ya kiswahil zinazohusu kilimo kama cha nyanya. Vitunguu. Pilipili hoho na ufugaji wa nguruwe na kuku watusaidie kutupia uku jukwaani.

niko nazo chache
 
Na Mimi ninahitaji ila nashauri vingewekwa humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…