Vitabu vya dini visitumike kuwaapisha wanasiasa!

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,850
Reaction score
50,568
Kwa muda mrefu nimeona kunakuwa na mgogoro mkubwa sana miongoni mwetu kwenye kukubaliana hasa ni wakati gani siasa na dini vinaweza kukaa pamoja. Ili kuondoa sintofahamu hiyo nashauri vitabu vya dini visitumike kumwapisha mwanasiasa yeyote yule ama mwanasiasa asitumie vitabu vya dini kumwapisha mtu mwingine.

Tusichanganye siasa na dini!!
 
Very Correct.
Tutumie miti mikubwaaaaaa kuapishana, ili tujue moja.
 
Mtu anatumia Biblia ama Quran kuapa, mbele ya safari kwenye uongozi wake akikemewa na Askofu ama Sheikh anachachamaa. Tugeukie tunguli sasa ili tukishindana turushiane maruhani!
Vile vitabu vyao wanvyotumia tuviangalie pia, isije kuwa si ama Quran wala Bibilia. Inawezekana ni mali ya wale wamiliki wa kuzimu.
 
Hii lugha ya "USICHANYE DINI NA SIASA" Inategemea inatumika kwa maslahi ya yupi!!! Dini ni siasa na siasa ni dini, Kwani vyote vinahusika na huduma ya jamii na uongozi wa jamii husika.

Viongozi hao wa kisiasa wanategemea dini kufikia malengo yao, kama ambavyo na viongozi wa kidini hutegemea siasa kufikia malengo ya kanisa
 
Duh....sasa waape kwa kutumia Nn mkuu?

Ova
 
Kwa muda mrefu nimeona kunakuwa na mgogoro mkubwa sana miongoni mwetu kwenye kukubaliana hasa ni wakati gani siasa na dini vinaweza kukaa pamoja. Ili kuondoa sintofahamu hiyo nashauri vitabu vya dini visitumike kumwapisha mwanasiasa yeyote yule ama mwanasiasa asitumie vitabu vya dini kumwapisha mtu mwingine.

Tusichanganye siasa na dini!!

Uko sahihi. Siasa na Dini havichangamani.
 
Ndio hapo ujue ujanja kuhusu dini mwingi sana we wanasiasa walivyo waongo wanaapa nini sasa kama sio unafiki wa hali ya juu
 
Kwa muda mrefu nimeona kunakuwa na mgogoro mkubwa sana miongoni mwetu kwenye kukubaliana hasa ni wakati gani siasa na dini vinaweza kukaa pamoja. Ili kuondoa sintofahamu hiyo nashauri vitabu vya dini visitumike kumwapisha mwanasiasa yeyote yule ama mwanasiasa asitumie vitabu vya dini kumwapisha mtu mwingine.

Tusichanganye siasa na dini!!
SIO HAPI TU HATA WABUNGE NA HATA MAHAKAMANI WATU WAAPE KWA NAFSI ZAO KUWA WATAKUWA WAKWELI TU? SIO WANATUMIA MUNGU KUTUAMINISHA KUMWAMINI KUMBE NI MWONGO. TUMWACHE MUNGU NA UTUKUFU WAKE.TUNAWALAZIMISHA WATU KUAPA KWA JINA LA MUNGU KUMBE MOYONI WANAJ6A WATATOA USHAHIDI WA UONGO, WATASIMAMIA UONGO BUNGENI NK.
 
Kwa kweli hawa viongozi walitaka mambo yao yawe sawa wanawaita viongozi wa dini lakini wakiboronga hawataki kukemewa na hao viongozi. Wao wenyewe wajitenge na dini kama wanaweza.
 
Acha kutufanya hatujui kitu. mtu anaapa kwa Mungu/mungu anayemwamini na sio kwa kiongozi wa dini. Umewahi kuona kiongozi wa dini anamwapisha mwanasiasa kwa kazi za serikali? hivi Jaji Mkuu anayemwapisha Rais ni kiongozi wa dini gani? Biblia au Quran ni vitu vinavyomwakilisha Mungu na sio binadamu awaye yoyote. Na ndio maana hata hao maaskofu huapa kwa kushika hiyo Biblia.
 
Ila ni ya ccm inawakilisha ccm hali kadhalika biblia na Quran huwakilisha ukiristu na uislamu ambavyo ni dini. Kama ni kuwakilisha Mungu tuu mkristu angeapa kwa quran au mwislam angeapa kwa biblia. Lakini kwa sababu hivi vitabu viwili vinawakilisha dini mbili tofauti haiwezi kufanyiki hivo. Acha ubishi!
 
Back
Top Bottom