Ni-PM namba yako au niandikie text mda mwingi namba hiyo huwa naitumia kwenye modem kwani niko mkoani.
Tatizo hili litakua ni la mda mfupi tu kwani nilienda kusalimia kidogo.
Je unauza DDC( DEWEY DECIMAL CLASSIFICATION SYSTEM) kama ndio je shilingi ngapi? au Unaweza kunielekeza book shop uko DAR ES SALAAM, unaweza kunitumia nipo maktaba ya hebarium ni TAASISI YA UTAFITI WA MISITU LUSHUTO (TAFORI)