Vitabu vya CPA Bei sawa na Bure

Vitabu vya CPA Bei sawa na Bure

mkuu library nakutafuta tangu juzi kwenye simu sikupati
 
mkuu library nakutafuta tangu juzi kwenye simu sikupati

Ni-PM namba yako au niandikie text mda mwingi namba hiyo huwa naitumia kwenye modem kwani niko mkoani.
Tatizo hili litakua ni la mda mfupi tu kwani nilienda kusalimia kidogo.

Karibu
 
Mi nauza kwa bei ambayo ni flat rate 10,000 @ each.

Je unauza DDC( DEWEY DECIMAL CLASSIFICATION SYSTEM) kama ndio je shilingi ngapi? au Unaweza kunielekeza book shop uko DAR ES SALAAM, unaweza kunitumia nipo maktaba ya hebarium ni TAASISI YA UTAFITI WA MISITU LUSHUTO (TAFORI)
 
Back
Top Bottom