Vitabu vya CPA Bei sawa na Bure

Vitabu vya CPA Bei sawa na Bure

LIBRARY

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2012
Posts
231
Reaction score
241
Financial Accounting and Reporting

Corporate Governance

Principles of Microeconomics

Advance Cost and Management
Accounting

Cost and Management Accounting 7th Ed

Financial Management

bookslibrary107@gmail.com
 
mbona sijaelewa? aya masomo ya
corporate govenance pia financial
management ni za sylubus gani izo?
kaka umetchanganyaje apo??
 
mbona sijaelewa?
corporate govenance pia financial management za sylubus gani iyo?

mbona sijaelewa? aya masomo ya
corporate govenance pia financial
management ni za sylubus gani izo?
kaka umetchanganyaje apo??

Kwa style ya uandishi wako sidhani kama hivi vitabu vitakufaa?.

Btw soma hii
Ukishajua ni vya syllabus gani then njoo uwape jibu na wenzako..
 
Attachments

Wadau naona mnajitoa uono. Hivi Vitabu vinauzwa ni PM namba yako tuwasiliane jinsi ya kufanya transactions.
 
Ivo vitabu vinauzwa sio bure Jaman, anaetaka vya bure click below link:

http://bit.ly/1fDhysi

:smile-big: hahahahah!, Kumbe bado kinakuuma hadi leo?. Btw hivyo sio vitabu tajwa hapo juu

Vyako ni too general kwenye Nbaa syllabus vimetajwa sio tu majina ya vitabu bali na their credible Authors.

eg; Principles of accounting kilichoandikwa na Frank Woods ni tofauti na cha Nyambaru Nyangwine.

Wenye akili watajua ila Paka wenzio kama wewe watafuata hako ka-link.
 
Kwanza kabisa ningependa kukujulisha paka ni mama yako mkuu

Pili Accountancy ni ile ile, huyo nyambari mwenyewe ame copy kwa frank wood.

Hivyo vitabu nimekupa hata wewe pia ukitaka ukauze
 
Kwanza kabisa ningependa kukujulisha paka ni mama yako mkuu

Pili Accountancy ni ile ile, huyo nyambari mwenyewe ame copy kwa frank wood.

Hivyo vitabu nimekupa hata wewe pia ukitaka ukauze

avatar178668_4.gif

Mama yangu hayupo hapa JF...

Wewe ni ki-Paka once a pussy ya always be a pussy

Btw You such a Pussy nigger.
 
avatar178668_4.gif

Mama yangu hayupo hapa JF...

Wewe ni ki-Paka once a pussy ya always be a pussy

Btw You such a Pussy nigger.

Khaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!! Nyie ndo Great thinkers ama Sinkers???? Acheni ubaradhuli, mmeshakuwa wakubwa! Mambo gani hayo???
 
library na Sparta humu siyo sehemu ya matusi,najua nyinyi bado ni watoto, nadhani mkikua mtaacha
upumbavu wenu
 
Kwa style ya uandishi wako sidhani kama hivi vitabu vitakufaa?.

Btw soma hii
Ukishajua ni vya syllabus gani then njoo uwape jibu na wenzako..

You are warmly welcome to visit NBAA - Mhasibu House Bookshop for strengthening your
carrier aspiration

Toa kwanza kibanzi kwenye jicho lako kabla hujatoa la mwenzio. Hii ni sentence ya mwisho kwenye tangazo lako la vitabu. Kwa level yangu ndogo ya elimu badala ya "carrier" ulitakiwa utumie "career"
 
Back
Top Bottom