ChimpuluNchimbi
Member
- Jun 5, 2017
- 95
- 124
Kwa mujibu Wa taratibu za kiuungwana nimeona ni vyema na haki vitu vizuri nikala na wenzangu...
Basi nikaona si mbaya kama ntashea list ya vitabu vitano vitakavyoweza kuchochea uelewa wetu juu ya mambo mengi ya dunia hii.
Wana JF wenzangu, wapenda kusoma vitabu na hata wale wasio na mazoea ya kujisomea vitabu mbalimbali ili kuboost skills pasipo shaka nadhani vitabu hivi vitatuweka pazuri hasa katika ishu nzima za kupimp akili....
1. Emotional Intelligence
By Daniel Coleman
View attachment 718479
2.Finding Your Element
By Lou Aronica
View attachment 718480
3.How Will You Measure Your Life?
By Clayton M. Christensen
View attachment 718481
4.13 Things That Mentally Strong People Don't do
By Amy Morin
View attachment 718482
5. How To Stop Worrying And Start Living
By Dale Carnegie
Kingine ni biblia amini usiamini ila ukisoma vitabu kadhaa ktk biblia utabadili maisha yako totally
Sio kila mtu ana imani kama yako!!!Kwa kuwa hukuanza na manual yaani Bible niligundua utafiti wako hauna mantiki
Hapa ndo mnapokosea. Pale mnapodhani maswala ya Mungu ni option. Bible ndo manual si9 ya wakristo tu bali kea wote walioumbwa na Mungu.Sio kila mtu ana imani kama yako!!!
True.Kingine ni biblia amini usiamini ila ukisoma vitabu kadhaa ktk biblia utabadili maisha yako totally
Itapendeza zaiidi kama anavyokaribu vitabu hivyo utawekee kwa uzi.Tupia soft copy mkuu
Naomba unipatie nakala ya Think and Grow Rich na Possibility Thinking...Mkuu ama unaweza vipost hapa nivipakue plz mkuuThink and grow rich
Poor dad, rich dad
Possibility thinking