watoto bana...
Mpaka waje kufungua shule mbona kazi tunayo......lol!
Afu ukute wewe unachoma ada kumbe yeye anaendekeza hizi habari...
vitabu tunanunua kwa pesa
wao wanavichoma kwa 'ugomvi wa kipumbavupumbavu na anakuja tumshauri'
we bwana we acha tu!af siye tunakazana wenyewe kukopa benki kuwalipia ada na hosteli!watoto bana...
Huyo kakuonea aibu, mie niliwahi kutemana na GF wangu nikaenda kwao kudai hela zangu za chipsi nilizokuwa namnunulia wakati wa kilele cha mapenzi yetu............... chezea Mtambuzi weye..........................LOL
mi hata sijui niseme nini!yani kweli roho inauma lakini ndo tushawazaa sasa unafikiri tufanyaje?vitabu tunanunua kwa pesa
wao wanavichoma kwa 'ugomvi wa kipumbavupumbavu na anakuja tumshauri'
Huyo kakuonea aibu, mie niliwahi kutemana na GF wangu nikaenda kwao kudai hela zangu za chipsi nilizokuwa namnunulia wakati wa kilele cha mapenzi yetu............... chezea Mtambuzi weye..........................LOL
we bwana we acha tu!af siye tunakazana wenyewe kukopa benki kuwalipia ada na hosteli!
mi hata sijui niseme nini!yani kweli roho inauma lakini ndo tushawazaa sasa unafikiri tufanyaje?
wanasema sometimes wazazi tunakosea
ku fight so hard ili watoto wapate ' what you missed'
sometimes wanahitaji exactly yale yale ili waweze ku appreciate ukiwapa better'
mitoto ambayo inasoma with vitabu full ndo hiii
lakini wale waliosoma kwa kuazima vitabu vya watu,wanajua namna ya kuheshimu pesa na vitabu

seriously haya mambo ya kufanya kila kitu nilichokosa sitaki mwanangu akose ndo matatizo yake haya.hapo binti anona yuko saaawa mwenyewe!yani unaweza kutoa mtoto wako mwnyewe roho,