Vitabu 60 nilivyovisoma mwaka 2025

Kama unataka kukuza ufahamu wako Epuka sana kusoma vitabu Vya wazungu ambao ni motivation speakers
Hapo nimesoma vitatu tu
Long walk to freedom (nimekua mtata sana baada ya kukisoma its a sad story from mandela)

As a man thinketh (stoicsm and clear thought)

Man search for meaning (one of the best book).

Shikamoo mzee wa ulumbi
 
Truly

As well vitabu vya waafrica ni vzr Sana .
 
Dah!... hongera sana aiseee...

Ngoja nipambane nifikishe hata 10 mwaka ujao Mungu akipenda.
 
Mkuu kwa kusambaza upendo wa huu mwaka; naomba unitumie hicho namba 35.
 
Nimeweka hivi vichache nitakuwa naweka kidogo kidogo naona mtanda unasumbua
 
Attachments

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…