Vitabu 10 ambayo vitakujenga

Quran
 
The power of positive thinking
 
VITABU VIMFAAVYO MWANADAMU KUSOMA NI VILE VITABU 66 VILIVYOKO NDANI YA KITABU KITAKATIFU KIITWACHO BIBLIA. vingine vyoote ni "ubatili mtupu"
 
VITABU VIMFAAVYO MWANADAMU KUSOMA NI VILE VITABU 66 VILIVYOKO NDANI YA KITABU KITAKATIFU KIITWACHO BIBLIA. vingine vyoote ni "ubatili mtupu"
Sawa mkuu,ila hapa hatujagusia vile vya Dini ambavyo ni QURAN na BIBILIA ambavyo kila mtu anajua umuhimu wake.
 
How to lose friends and alienate people. kitafute pia... kinafundisha what not to do
 
Biblia imeandikwa na watu wakiandika yaliyotoka kwa Mungu wakiongozwa na Roho Mtakatifu. Soma 2PETRO 1:20-21.
Pia maandiko yale ni pumzi ya Mungu. Soma 2TIMOTHEO 3:16
Unauhakika gani hawa wengine hawajapata muongozo wa Mungu, Mfano wanaochapisha vitabu vya kuondokana na umasikini au hata wanaoandika kuhusu injili na Mungu lakini sio biblia?
 
Unauhakika gani hawa wengine hawajapata muongozo wa Mungu, Mfano wanaochapisha vitabu vya kuondokana na umasikini au hata wanaoandika kuhusu injili na Mungu lakini sio biblia?
Biblia haikubakisha kitu chochote kinachohusiana na mwanadamu. Kwa mfano kama unataka kuagana na umasikini - soma Biblia, tafakari kisha uliishi Neno hilo ambalo ni la Mungu
 
Biblia haikubakisha kitu chochote kinachohusiana na mwanadamu. Kwa mfano kama unataka kuagana na umasikini - soma Biblia, tafakari kisha uliishi Neno hilo ambalo ni la Mungu
Hujajibu swali, nmeuliza una uhakika gani hawa waandishi wengine hawajaongozwa na Mungu?
 
Hujajibu swali, nmeuliza una uhakika gani hawa waandishi wengine hawajaongozwa na Mungu?
Nina uhakika. Waandishi hao wao wanafanya biashara tu. Roho Mtakatifu Alishamaliza kazi ya uandishi wa mambo yote yamhusuyo mwanadamu. Mambo hayo yote yashakuwa compiled kwenye KITABU kimoja kitakatifu sana kiitwacho Biblia.
 
Yaishe tuendelee na huu uzi maana naona umeamua tu kubisha,kwasababu nauhakika kabisa kuwa wajua Roho mtakatifu na Mungu bado wanafanya kazi hadi leo hii.Huwez fananisha technolojia na sayansi ya hii dunia na changamoto miaka 2000 iliyopita na sasa hivi.
 
Sawa mkuu, KARIBU SANA KWA BWANA YESU. Utayajua mengi ambayo hukuwahi kuyafikiria.
 
48 laws of Power
 
Attachments

  • 48+Laws+of+Power%2C+The+-+Robert+Greene%3B+Joost+Elffers_cover.jpg
    4 KB · Views: 207
Sawa mkuu, KARIBU SANA KWA BWANA YESU. Utayajua mengi ambayo hukuwahi kuyafikiria.
Hii ndyo sababu waafrica wengi tu maskin...kinaongelewa kitu kingine mtu anainguza kingine
Sor mkuu mungu unayemsema ww ndye huyu alieandka msimwache elimu aende zake lakin pia huyu hyu mungu ndye alie tupa wanadam cku 6 za kufanya kaz...
Sasa tatzo likwap kama hivo vtab utasoma ndan ya cku hzo 6
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…