Vitabu 10 ambayo vitakujenga

Ni habari njema kama tunaweza ku share vitabu vya maana kama hivi.JF ni chuo kikubwa,Tafadhali mjitahidi kuweka link ili tupakue.Hongera sana.
 
Hakuna vya lugha yetu ya taifa la maajabu?
 
katika hiyo list yako mkuu umesahau hivi viwili
The magic of thinking big by David schwartz na kile cha Think big cha Ben carson its among of books can enfluence katika fields nyingi
 
Ujaweka think and grow rich by Napoleon Hill pia ni kizur sana
 
Physical inapendeza,wakati unaendelea kusoma vya kupakua Hapa,ukipata nafasi nenda House of Wisdom,mezzanine no 22,NHC House,Samora Avenue kama hawajahama utapata vitabu pale.
Ntafanya hivyo mkuu!!! Ndio naendelea na e-books pia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…