kaachonjo JF-Expert Member Oct 27, 2012 203 68 May 14, 2016 #1 Vita vya Uingereza na Zanzibar ndiyo vita fupi zaidi duniani. Ilidumu dak. 38 tu. Ilikuwa 27 Agosti 1896. kwenye vita hiyo majengo yaliharibiwa pamoja na vifo vya raia wengi vilitokea. je sababu za vita hiyo unaweza kuifahamu...tuwe pamoja
Vita vya Uingereza na Zanzibar ndiyo vita fupi zaidi duniani. Ilidumu dak. 38 tu. Ilikuwa 27 Agosti 1896. kwenye vita hiyo majengo yaliharibiwa pamoja na vifo vya raia wengi vilitokea. je sababu za vita hiyo unaweza kuifahamu...tuwe pamoja
Yohana Kilimba JF-Expert Member Dec 25, 2012 8,105 5,629 May 14, 2016 #2 Ningependa kujua,wajuzi waje hapa
J jabulani JF-Expert Member Aug 1, 2015 5,547 11,701 May 17, 2016 #4 Sababu ilikuwa kumfanya sultani awe mwakilishi wa utawala wa mwingereza.