Vita ya Wabena na Wakinga

Kabla kubwa toka miaka na miaka ni Wabena,Wahehe wametokana na Wabena.
una evidence yeyote kuhusu hilo, mbona linaweza kutusaidia kubadilisha historia tuliyoaminishwa kwa miaka mingi. Mamangu ni mhehe, na alishawahi kunionyesha Biblia ya kibena, unachosema inawezekana ni cha kweli, kwani inasemekana wahehe hata dini ilipoingia hawajawahi kuwa na Biblia (pengine kwa sababu mkwawa alikuwa muislam hakuruhusu biblia itafsiriwe kihehe) ila zipo za kibena hadi leo.
 
mkwawa alikua muislam??
 
mkwawa alikua muislam??
ndio, na kizazi chake hadi leo ni cha waislam, na alikufa akiwa muislam. NI kwamba, waarabu waliokuwa wananunua pembe za ndovu walipopita Iringa hadi mpwapwa alikokuwa anatawala, walimsilimisha akakubali na kuwa muislam. na hapo ni kabla wajerumani hawajaja kutawala nchi hii.
 
Mkureshi alikua mbakaji katika kustawisha dola yake ya kikureshi ila alikomeshwa baada ya kumbaka mwanamke wa kiyahudi na kuwekewa sumu hadi akafa,mkureshi kafa kiboya hajafikia ushujaa kama machifu wengine waliokufa vitani wakitetea dola zao


Mwisho wako mbaya wa kutupwa motoni unaujua vizuri ila kazana tu kujisahaulisha na kujipa moyo

umeshajiandaa maisha ya kuwa kuni motoni?
 
Mwisho wako mbaya wa kutupwa motoni unaujua vizuri ila kazana tu kujisahaulisha na kujipa moyo

umeshajiandaa maisha ya kuwa kuni motoni?
Motoni yupo mkureshi na kikundi chake alichokua anakiambia kibake ndomana amekufa kama chifu mangungo wa msovero anasubiri hukumu na anaswaliwa na kuambiwa amani iwe juu yake.
 
Kumbe haya mambo yametoka mbali
 
m
Motoni yupo mkureshi na kikundi chake alichokua anakiambia kibake ndomana amekufa kama chifu mangungo wa msovero anasubiri hukumu na anaswaliwa na kuambiwa amani iwe juu yake.
mbona huyo mkeleshi inaonekana kama n kabila la waarabu lililopo kwene hadithi
 
Aisee hii. naisikia leo kumbe anapambana na wajerumani huku upande mmoja washamlainisha😂😂
Ni sawa na kupambana na simba huku unamuacha chui anakutafuna
 
Waliua 350 kupata 20!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…