Uchaguzi 2020 Vita ya Ubunge CCM Arusha, vigogo waanza kutembeza rushwa

Mkuu usiendelee kuwa na mawazo mgando
.nenda Arusha ndio utapata picha halisi

Chadema watu wa Arusha hata hawataki kuisikia
Subiri uone, sisi ndio wana-Arusha sio nyie mliokaa hapo Lumumba na kuandika andika propaganda zenu kwa manufaa ya matumbo yenu. Tuachieni mkoa wetu tumchague tunayemtaka na kura tutazilinda. Sio nyie mtuamulie, hizo enzi zishapitaga kitambo sana. Imebaki kazi ndogo sana kumuondoa mkoloni mweusi ambaye ndio mbaya zaidi.
#TUNATAKA TUME HURU, TUWAGARAGAZE MAPEMAAAAA
 
Upo Arusha ipi kamanda mimi nipo hapa olasite, watu hata wahataki kusikia Chadema
Subiri uone, sisi ndio wana-Arusha sio nyie mliokaa hapa Lumumba na kuandika andika propaganda zenu kwa manufaa ya matumbo yenu. Tuachieni mkoa wetu tumchague tunayemtaka na kura tutazilinda. Sio nyie mtuamulie, hizo enzi zishapitaga kitambo sana. Imebaki kazi ndogo sana kumuondoa mkoloni mweusi ambaye ndio mbaya zaidi.
#TUNATAKA TUME HURU, TUWAGARAGAZE MAPEMAAAAA
 
Katibu Mkuu CCM alisema sana, atakaye anza kampeni mapema atafutwa mara moja na kukosa nafasi ya kugombea
 
Olasiti Mkuu nipo na machalii wanahasira na Chadema imewatelekeza
Halafu machalii wapogo Sakinade, Sanawarize, Mianzi, Ololooo Macassino ya kushato, Ngaleloo huko mapentagoni ya kushato, Ngarenade, Makijengefeni, sio huko Olasiti pamejaa mafambaaa..
 
Ahaha umeniacha njiapanda
Halafu machalii wapogo Sakinade, Sanawarize, Mianzi, Ololooo Macassino ya kushato, Ngaleloo huko mapentagoni ya kushato, Ngarenade, Makijengefeni, sio huko Olasiti pamejaa mafambaaa..
 
Kina Mbowe waliposhinda ubunge walitangazwa na nani?
Wapinzani hadi kutangazwa kupewa ushindi haikuwa kazi rahisi hata kidogo na hata damu ilimwagika unajua hilo, hakukuwa na namna pia ilikuwa lazima watangazwe kujidai ilikuwa uchaguzi huru na wa haki. Nyuma ya pazia ilikuwa ni wizi tuu kuwaibia wananchi viongozi wao halali waliowachagua na kuwawekea wagonga meza tuu wasio na muda wa kuhoji chochote.
 
Kweli CCM itashinda kwa mchezo huu walioanzisha wa kulazimisha wao kupita bila kupingwa na watu wanapodai haki wanauwawa, Lazima mshinde, vita iko kwenu uwaneni sisi tunasubiri muda muafaka wa kugombea kwa kuwa hata mwaka huu tunaweza tukaacha kama Maalimu alivyofanya Zanzibar.
 
Back
Top Bottom