100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,229
- 36,580
AiseeUnajua kuwa cold war ni vita vya uchumi hakuna kazi ngumu kupigana wakati muhusika humjui
I am 100% sure YAHWEH won't let this happen revelation 11:18Nuclear weapons are a big deterrent and I believe WW III will never happen. If it does, Homo Sapiens will obliterate himself and make the only planet that is known to support life inhabitable.
Wengine hatujui kama mimi.WW3 tayari ishatokea.
Tatiz la sisi WAAFRIKA tunasubiri mpk MZUNGU aseme kwamba DUNIA imeingia ktk Vita ya 3.
Anaebisha kuhusu Vita ya 3 aje tuelekezane kwa Hoja solid.
Vita ya 3 ya dunia itaanzia Israel, na itaanzishwa na mataifa ya Ukata kuishambulia Israel, ila haitapiganwa kwenye mataifa mengine, itakuwa ni vita kati ya mataifa ya ulaya, middle East, Africa, America dhidi ya Israel, USA itakuja kupata rais ambaye hataitambua Israel ingawa atakuwa rais mwenye asili ya Israel na ndo atatoa kibali cha Israel kushambuliwa baada ya Israel kukaidi na kukata kutimiza matakwa ya USA ya kuunda mataifa 2, Israel na Paledtina, kwa sababu mpango wa nchi 2 itabidi Israel apoteze nusu ya nchi yake na miji muhimu kama Yerusalem, Nazareth, Bethlehem iende Palestine, tajwa hilo Israel atalikata katu na atasema hatuko tayari kutoa ardhi, tuko tayari kwa lolote, na hapo ndi mabomu ya nuclear yatapigwa, Israel ndo ataanza kutumia bomu la nuclear baada ya kuona mashambulizi kutoka kila mahari
Porojo za kitabu Cha Muddy..Vita ya 3 ya dunia itaanzia Israel, na itaanzishwa na mataifa ya Ukata kuishambulia Israel, ila haitapiganwa kwenye mataifa mengine, itakuwa ni vita kati ya mataifa ya ulaya, middle East, Africa, America dhidi ya Israel, USA itakuja kupata rais ambaye hataitambua Israel ingawa atakuwa rais mwenye asili ya Israel na ndo atatoa kibali cha Israel kushambuliwa baada ya Israel kukaidi na kukata kutimiza matakwa ya USA ya kuunda mataifa 2, Israel na Paledtina, kwa sababu mpango wa nchi 2 itabidi Israel apoteze nusu ya nchi yake na miji muhimu kama Yerusalem, Nazareth, Bethlehem iende Palestine, tajwa hilo Israel atalikata katu na atasema hatuko tayari kutoa ardhi, tuko tayari kwa lolote, na hapo ndi mabomu ya nuclear yatapigwa, Israel ndo ataanza kutumia bomu la nuclear baada ya kuona mashambulizi kutoka kila mahari
Wewe kweli ni kipofuWW3 haitokuja kutokea mana hakuna nchi inayotaka vita kwenye ardhi yake ndio mana hakuna mbabe atakayempiga mbabe mwenzake.
Mataifa makubwa/wababe wanapigana kupitia migongo ya wengine na hicho kinachofanya WW3 isiwepo.
Mtasikia tuu USA amepeleka makombora Ukraine au Israel ili kumpiga Palestina au Russia lakini kamwe huwezi kuja kusikia USA ameipiga Russia.
Umeyapata wapi haya?Vita ya 3 ya dunia itaanzia Israel, na itaanzishwa na mataifa ya Ukata kuishambulia Israel, ila haitapiganwa kwenye mataifa mengine, itakuwa ni vita kati ya mataifa ya ulaya, middle East, Africa, America dhidi ya Israel, USA itakuja kupata rais ambaye hataitambua Israel ingawa atakuwa rais mwenye asili ya Israel na ndo atatoa kibali cha Israel kushambuliwa baada ya Israel kukaidi na kukata kutimiza matakwa ya USA ya kuunda mataifa 2, Israel na Paledtina, kwa sababu mpango wa nchi 2 itabidi Israel apoteze nusu ya nchi yake na miji muhimu kama Yerusalem, Nazareth, Bethlehem iende Palestine, tajwa hilo Israel atalikata katu na atasema hatuko tayari kutoa ardhi, tuko tayari kwa lolote, na hapo ndi mabomu ya nuclear yatapigwa, Israel ndo ataanza kutumia bomu la nuclear baada ya kuona mashambulizi kutoka kila mahari
Siyo lazima nuclear bomb zitumike ndiyo iwe vita ya 3 ya dunia ...vita vya 3 vinaweza kutokea hata pasipo kutumika bomb la nuclea watu wakapigana na kufa kwa mamilioni bila ya bomu la nuke kutumia cheki ukrain .Nuclear weapons are a big deterrent and I believe WW III will never happen. If it does, Homo Sapiens will obliterate himself and make the only planet that is known to support life inhabitable.
Mm nabshaWW3 tayari ishatokea.
Tatiz la sisi WAAFRIKA tunasubiri mpk MZUNGU aseme kwamba DUNIA imeingia ktk Vita ya 3.
Anaebisha kuhusu Vita ya 3 aje tuelekezane kwa Hoja solid.
Hakuna mwenye uthubutu WA kutumia nuclear kwa nchi inayomiliki Nuke sababu nae atapigwa tu. Nuke ndo ulinzi utakaofanya watu wakuogope. But watapigana vita ya kawaida labda tu nitokee marekani ashindwe kichapo ndo Kimbilie nuke maana yeye ndio Ana historia akishindwa anakimbilia polisiSiyo lazima nuclear bomb zitumike ndiyo iwe vita ya 3 ya dunia ...vita vya 3 vinaweza kutokea hata pasipo kutumika bomb la nuclea watu wakapigana na kufa kwa mamilioni bila ya bomu la nuke kutumia cheki ukrain .
Bisha kwa hoja.. kwanin unabisha.Mm nabsha
Ili iitwe vita ya dunia, lazma ugomvi(conflict) utokee baina ya nchi mbalimbali duniani( kuna mpuuzi anasema kama ukraine na russia kwenye hii thread, hapana)Nani Alisema hii ya kwanza na hii ya pili na vigezo ni vipi.
Na ya 4 je utakuwa je.
Hata ikija Africa hasa nchi chini ya jangwa LA Sahara kama wakijiingiza basi ni kiherehere Chao tu. We got no business on their problems. Wacha wapigane Wazungu na waarabu wamalizane wenyewe sisi hayatuhusu.
Shida watu wanapenda haya MA-DINI YA KUJA basi huwaambii kitu. Yamekuwa kama majinga.
Labffa kwenye video games na movie mnazoangalia.Bisha kwa hoja.. kwanin unabisha.
KwaNi Betlehemu Kwa Sasa IPO Israeli??? Mbona IPO Palestine???Vita ya 3 ya dunia itaanzia Israel, na itaanzishwa na mataifa ya Ukata kuishambulia Israel, ila haitapiganwa kwenye mataifa mengine, itakuwa ni vita kati ya mataifa ya ulaya, middle East, Africa, America dhidi ya Israel, USA itakuja kupata rais ambaye hataitambua Israel ingawa atakuwa rais mwenye asili ya Israel na ndo atatoa kibali cha Israel kushambuliwa baada ya Israel kukaidi na kukata kutimiza matakwa ya USA ya kuunda mataifa 2, Israel na Paledtina, kwa sababu mpango wa nchi 2 itabidi Israel apoteze nusu ya nchi yake na miji muhimu kama Yerusalem, Nazareth, Bethlehem iende Palestine, tajwa hilo Israel atalikata katu na atasema hatuko tayari kutoa ardhi, tuko tayari kwa lolote, na hapo ndi mabomu ya nuclear yatapigwa, Israel ndo ataanza kutumia bomu la nuclear baada ya kuona mashambulizi kutoka kila mahari
Hakujawahi kuwa na vita ya kwanza, ya pili, na hakutakuwa na vita ya 3 ya dunia.Dunia imeshakumbwa na vita nyingi sana, ila kwa mujibu wa historia zipo vita kuu mbili zilizoigawanya dunia kwenye pande mbili, vita zilizosababisha vifo vya mamilioni ya watu, vita ya kwanza ya dunia(WW1) na vita ya pili ya dunia (WW2).
Tangu kuisha kwa vita ya pili ya dunia mnamo mwaka 1945, dunia bado haijapitia vita kubwa iliyoyagawa mataifa ya dunia katika pande mbili, ila kwa yanayoendelea sasa, kuna uwezekano mkubwa wa dunia kuingia katika vita kubwa ambayo inaweza kupelekea kiama (dunia kufika mwisho).
Je nini mtazamo wako wa vita ya tatu ya dunia(WW3), Kipi kitakuwa chanzo? Na dunia itakuwa na sura gani mara baada ya hii vita kuisha??
Ndiyo nilicho sema watu wanakosea kudhani vita ya 3 ni bomu la nuclear.....vita vya 3 vinaweza kupiganwa pasipo kutumika nuke na hivyo vita haviwezi kuwa kwa taifa lenye nuclear kuvamia taifa lenye nuclear lenzake ila vitapiganwa mipakani tu au nchi nyingine kama ilivyo sasa ukrain lakini itakuwa tayari vita ya 3 ya dunia ...matumizi ya nuclear yatakuja tu kwa taifa lenye nuclear litakapi lishinda nguvu taifa lenye nuclear na kuvamia ardhi yake.Hakuna mwenye uthubutu WA kutumia nuclear kwa nchi inayomiliki Nuke sababu nae atapigwa tu. Nuke ndo ulinzi utakaofanya watu wakuogope. But watapigana vita ya kawaida labda tu nitokee marekani ashindwe kichapo ndo Kimbilie nuke maana yeye ndio Ana historia akishindwa anakimbilia polisi
Watu wanazungumzia conventional war, siyo hizo.Unajua kuwa cold war ni vita vya uchumi hakuna kazi ngumu kupigana wakati muhusika humjui