vipi ni mpinzani wako nini,,mbona point nyingi??VITA VYA TATU VYA DUNIA; una tweet na Aggrey Kimaro (-20,000)
Daah! Nimetoka kapa!
vipi ni mpinzani wako nini,,mbona point nyingi??
vipi ishaingia?
badiebey nisaidie hapaDaah! Nimetoka kapa!
Kichwa cha habari kimenishtua!
mmmm nilijua wamarekani washaingia syria na ndege zilizokuwa hazina rubani kufanya yao
toka asubuhi mpaka sasa kila member ashapunguza zaidi ya point 2000
hata mimi sijaelewa anazungumzia nini hasa
Hahah,soooo funny jamni,esp pale umepunguza point kibao kisa aina ya gari ya jamaa mwngne...
Hahaha Mentor ...hivi tulitakiana heri ya mwaka mpya? ..heri ya mwaka mpya mkuu!
Daah! Nimetoka kapa!