Mkuu Syria hawezi kudil na Israel kamwe ..sahau..angekuwa na uwezo angefanya hivyo tokea zamama kabla hata ya hii Civil war!
Ndio afanye miaka hii..wakati hata kuwa-contain hao waasi anasaidiwa na Russia,Iran,Hezbollah's nk!
Sent using
Jamii Forums mobile app