Vita vya Syria: Wanajeshi wa Uturuki 33 wauawa katika mashambulio Idlib. Uturuki yatuma Maelfu ya Wanajeshi Syria

Tofauti na Israel., Turkey militarily hayuko vyema .. kitendo tu Cha kulundikana kwenye maghorofa wakati mko vitani nao ni upumbavu wa kiwango Cha juu.. Sasa wanagongwa mbaya.. inavyoonekana Syria huwaogopa Sana Israel kuliko yeyote middle east.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kafanya hilo shambulio ni Urusi au Syria?
 
Jamii forums mnazingua Sana.. alowaambia muedit huu Uzi Nani? Yaani mmeedit kote halafu bado jina ni langu.. upumbavu huo..
Kwanini msiandike wenyewe toka usiku was Jana Kama siyo u. Fa, la.
Futeni jina langu fa ,, la..

Sent using Jamii Forums mobile app
Umehakiwa mkuu? Kua mpole wamekusaidia kuweka uzi vzr
 
"Yote yanajulikana"maeneo ya serikali ya Syria yalishambuliwa na ndege za Uturuki na vikosi vya ardhini, Mkurugenzi wa mawasiliano wa Uturuki Fahrettin alinukuliwa na Shirika la habari la taifa Anadolu akisema. Uturuki ilikua imeamua ku "jibu kwa ukarimu" mashambulio, alisema Bw, Altun.

Wakati huo huo ,Uturuki ambaye ni mjumbe wa Muungano wa kujihami wa nchi za Magharibi Nato imesema waziri wake wa mambo ya nje Mevlut Cavusoglu amezungumza na katibu mkuu wa muungano wa Nato -Generali Jens Stoltenberg.

Uwanja sasa umewekwa tayari kwa ajili ya makabiliano kamili baina ya Uturuki na Syria

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu sitaki kuamini UTURUKI karusha ndege anga la Syria, maana URISSI alishasema ni NO FLY ZONE. na ndio maana Uturuki anangaika kuomba PATRIOTIC batteries kutoka Marekani ili aweze kurusha ndege na yeye.
 
NATO wanafanya mkutano wa dharura kuhusu Syria kuitikia ombi la Uturuki waliotaka mkutano wa dharura kuhusu Syria ufanyike. (Chanzo: DW)
 
Syria imeambiwa kwa sasa isijibu kiivyo Israel coz yy anachofanya ni kushambulia na kusepa tena anatumia anga lililoko nje ya Syria, akimaliza kudel na hawa ndani ya nchi yake ndio atashughulikia upande mwengine, anamalizana na waliomo ndani ya Syria kwanza
Tofauti na Israel., Turkey militarily hayuko vyema .. kitendo tu Cha kulundikana kwenye maghorofa wakati mko vitani nao ni upumbavu wa kiwango Cha juu.. Sasa wanagongwa mbaya.. inavyoonekana Syria huwaogopa Sana Israel kuliko yeyote middle east.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Urusi yawaonya tena Uturuki iondoke kwenye mipaka ya Syria na Warudi kwao Uturuki kuna mashambulizi anataka kufanya Russia mwenyewe, taari Su-25 kama 30 zinajitaarisha na mashambulizi

#BREAKING: Minutes ago, #Russian officials warned #Turkish government to not have #Turkish Army troops outside their observation posts in #Idlib, #Syria because they will be targeted by #Russia Air Force!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nato wamchomolea Uturuki, wamwambia njia ya mazungumzo inatosha
Screenshot_20200228_134732_com.rt.mobile.english.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sija ona haja ya wewe kupanick hivi habari uliyo iweka apa jana usiku ilkua ni fupi mno ndo maana wadau wakawa wana kuuliza kuhusu source source hbari ime patikana kamili ikaletwa na ik andikwa kwa Mapana kitu ambacho ww ulipaswa kukifanya baada ya kuzipata hizo habari
so chill man ni vitu vya kawaida hivi
Jamii forums mnazingua Sana.. alowaambia muedit huu Uzi Nani? Yaani mmeedit kote halafu bado jina ni langu.. upumbavu huo..
Kwanini msiandike wenyewe toka usiku was Jana Kama siyo u. Fa, la.
Futeni jina langu fa ,, la..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofauti na Israel., Turkey militarily hayuko vyema .. kitendo tu Cha kulundikana kwenye maghorofa wakati mko vitani nao ni upumbavu wa kiwango Cha juu.. Sasa wanagongwa mbaya.. inavyoonekana Syria huwaogopa Sana Israel kuliko yeyote middle east.

Sent using Jamii Forums mobile app
Israel hana masihara..akikuambia nakutandika anatandika kweli..hao Syria na misri hawana hamu nae..jiulize kama Israel ingekuwa legs lege Golan Heights ingerudishwa kijeshi na Assad mapema tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom